NAIBU WAZIRI TAMISEMI ATANGAZA KIAMA KWA SHULE BINAFSI NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI TAMISEMI ATANGAZA KIAMA KWA SHULE BINAFSI NCHINI

*Shule ambazo hazifuati waraka wa elimu nazo kuchukuliwa hatua*Azungumzia ada kubwa kwa shule binafsi, aapa kutafuta suluhu*Wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza wapewa siku 90...
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
SERIKALI imetangaza kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa shule zote binafsi ambazo hazifuati waraka wa elimu nchini huku ikitangaza kufanya msako kubaini wote wanaokiuka waraka huo. Pia Serikali imetoa onyo kwa shule zote binafsi ambazo zina tabia ya kupandisha ada kiholela, kukaririsha madarasa wanafunzi kinyume na waraka uliopo pamoja na michango mikubwa inayotoza bila kufuata utaratibu.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mwita Waitara amesema, hiki ni kipindi cha elimu na kuna mambo lazima yawekwe sawa kwa wazazi, walezi, wadau wa elimu na shule kufahamu nini ambacho kinatakiwa kufuatwa. hayo ameyafafanua juzi alipokuwa kwenye kipindi katika kituo cha televisheni cha Ta... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More