NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA PROGRAMU YA 'UNI LIFE CAMPUS' MUHAS - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA PROGRAMU YA 'UNI LIFE CAMPUS' MUHAS

Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Uni Life Campus Program kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, MUHAS.Wafanyakazi na wanafunzi wa MUHAS wakifuatilia hotuba za uzinduzi wa Uni Life Campus Program kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, MUHASKaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Appolinary Kamuhabwa akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa Uni Life Campus Program kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, MUHAS.Mbunge anaewakilisha Vyuo Vikuu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwanzilishi wa Uni Life Campus Program, Mheshimiwa Esther Mmasi akielezea maono ya program hii wakati wa uzinduzi wa Uni Life Campus Program kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, MUHASDkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akitoa ufa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More