NAIBU WAZIRI WA BARAZA LA WAWAKILISHI MHE. JUMA AONGOZA UJUMBE WA ZANZIBAR KATIKA MKUTANO WA 49 BOTSWANA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI WA BARAZA LA WAWAKILISHI MHE. JUMA AONGOZA UJUMBE WA ZANZIBAR KATIKA MKUTANO WA 49 BOTSWANA

Makamu wa Rais wa Botswana Mhe Slumber Tsogwane akipata picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Tendaji na viongozi mashuhuri huko Gaborone Botswana.  Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akibadilishana mawazo na Mhe Maria Ndilla Kangoye ambae ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Kanda ya Afrika na pia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mabunge wanachama wa nchi za Jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said pamoja na Katibu wa tawi hilo ambae pia ni katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Msellem wakisikiliza mada zinazojadiliwa. Mwenyekiti wa kamati tendaji ya nchi wanachama wa mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola Mhe Simai Mohammed Said akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Baraza kutoka Rodrigues Regional Assembly Mauritius Mhe Marie Pricie Anjela Speville, katikati ni Makamu wake Mhe Ramdally Jean Rex. 
Balozi wa Nigeria nchini Botswana HE Moses I. Adeoye (kati) akifurahia jambo pamoja na Naibu Spika Mhe Mgeni Hassan na Mhe Si... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More