Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe

 Makamu wenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo,Mifugo na Maji Dkt.Christine Ishengoma(kushoto) akiangalia kwa makini kifungashio cha parachichi zinazozalishwa na kupakiwa na kampuni ya Tanzanice Agrofood Ltd.  ya Mkoani Njombe. walipotembelea kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo kutembelea na kujifunza maeneo ya kilimo yanaratibiwa na Kituo ch Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania(SAGCOT). Kulia ni Contract farming Manager wa Kampuni hiyo Bw.Noel Lugenge Naibu Waziri wa Kilimo Dkt.Mary Mwanjelwa(wapili kulia) akiwa ameshika parachichi pamoja na Makamu wenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo,Mifugo na Maji Dkt.Christine Ishengoma(wapili kushoto)walipotembelea Kampuni ya Tanzanice Agrofood Ltd. Mkoani Njombe inayokusanya na kupatia zao hilo kwa kusafirisha katika masoko ya nje ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo kutembelea na kujifunza maeneo ya kilimo yanaratibiwa na Kituo ch Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More