NAIBU WAZIRI WA MADINI DOTTO BITEKO AFANYA ZIARA MIGODI YA KISARAWE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI WA MADINI DOTTO BITEKO AFANYA ZIARA MIGODI YA KISARAWE
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko ametembelea Migodi ya Kaolin ya Wilaya Kisarawe Mkoani na kujionea uzalishaji na kukagua migodi ambayo imefungiwa kwa muda na kutoa maelekezo hili waweze kufunguliwa kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara hiyo Naibu Waziri Biteko amesema lengo la ziara hiyo ni kuhimiza ulipaji wa kodi katika sekta ya madini, kwani kulikuwa na changamoto nyingi katika sekta hiyo hasa ulipaji wa mrabaha.
"Tunalipa kodi ya madini haya kulingana na unapouzia sio kulipa mrabaha kwa eneo unalochimbia hivyo tumewaeleza wale wote ambao watakwenda kinyume nataratibu hizo atakuwa amekwepa kodi kwa makusudi kwa tayari wameshapewa taharifa hivyo kwa sehemu kubwa ya wachimbaji niliyowatembelea wamefuata sheria na kanuni tulizowaelekeza "amesema Naibu Waziri Biteko.
Naibu Waziri Biteko ametoa wito kwa wachimbaji wote waendelee kushirikiana na ofisi za madini kwani serikali ipo kwa ajili ya kuwalea wachimbaji wadogo hili waweze k... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More