NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AMPA KONGOLE DKT. ANGELINE MABULA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AMPA KONGOLE DKT. ANGELINE MABULA


Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula akipanda katika Tanki la maji kujionea ujenzi wa tanko hilo wakati Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso alipokagua miradi ya maji katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza.

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso Akielekea kukagua tanki la Maji katika mradi wa Igogwe katika Manispaa ya Ilemela wakati wa ziara yake ya siku moja kukagua miradi ya maji mkoani Mwanza. Wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Wazari wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula.
Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso (wa tatu kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mijini mkoani Mwanza Injinia Anthony Sanga wakati wa wakati wa ziara yake ya siku moja kukagua miradi ya maji mkoani Mwanza. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso (wa pili kulia ) akimsikiliz... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More