NAIBU WAZIRI WA NISHATI AKABIDHI SOLAR POWER KWA ZAHANATI TATU ZA HALMASHAURI YA CHALINZE - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI WA NISHATI AKABIDHI SOLAR POWER KWA ZAHANATI TATU ZA HALMASHAURI YA CHALINZE Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu wa katikati ambaye pia ni Mbunge wa viti maalumu (CCM) kutoka Mkoa wa Pwani  akikabidhi msaada wa Solar Power  kwa baadhi ya wauguzi wa zahanati ya Mduma iliyopo kata ya Kibindu  katika halmashauri ya Chalinze iliyopo Wilayani Bagamoyo   kulia kwake ni muuguzi Neema Muhagama akipokea kwa niaba ya wenzake.(PICHA NA VICTOR MASANGU) Naibu Waziri wa nishati Subila Mgalu wa kulia ambaye pia ni Mbunge wa viti maalumu (CCM) kutoka Mkoa wa Pwani akimkabidhi msaada wa Solar Power  Martha Kilimba ambaye ni mmoja wa wauguzi  katika zahanati ya Kwamsanja iliyopo kata ya Kibindu katika halmashauri ya Chalinze Wilayani Bagamoyo kwa lengo la kuwasaidia wagonjwa ambao wamekuwa wakipata adha ya kutibiwa kwa kutumia mwanga wa tochi za simu.Naibu waziri wa nishati Subira Mgalu kulia ambaye pia ni Mbunge wa viti maalumu (CCM) kutoka Mkoani Pwani akimkabidhi msaada wa Solar Power mmoja wa wauguzi katika zahanati   ya Kibindu iliyopo kata ya Kibindu katika ha... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More