NAIBU WAZIRI WA NISHATI SUBIRA MGALU, ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITA ZA LUKU ZA KISASA JIJINI DAR ES SALAAM - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI WA NISHATI SUBIRA MGALU, ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITA ZA LUKU ZA KISASA JIJINI DAR ES SALAAM

 NAIBU Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, akiwa ameshika moja ya mita ya kisasa ya LUKU, (Smart Meter), iliyotengenezwa na kiwanda cha Baobab Engineering System Tanzania kilichoko Mbezi jijini Dar es Salaam, wakati alipokitembelea kujionea mita hizo leo Juni 8, 2018. Picha na   NA K-VIS BLOG/KhalfanSaid. Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizunguzma jambo baada ya kujionea mita hizo. Mhe. Naibu Waziri akimsikiliza Meneja Mwandamizi wa TANESCO anayeshuhghulikia Mauzo na Masoko, Mhandisi Theodory Bayona. Wataalamu wa kiwanda ambao wote ni Watanzania wakiwa kazini. Mhe. Naibu Waziri akiangalia utaalamu wa kutengeneza mitab hizo. Mhe. Naibu Waziri akiangalia utaalamu wa kutengeneza mitab hizo. Moja ya mita hizo ikiwa katika hatua za mwisho za matengenezo. Wataalamu wa kiwanda ambao wote ni Watanzania wakiwa kazini.
 Wataalamu wa kiwanda ambao wote ni Watanzania wakiwa kazini.
 Mhe. Subira Mgalu, akizunhuzma. Kulia ni Meneja Mwandamizi wa TANESCO anayeshuhhuliki... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More