Najipendekeza Wasafi ili Niwe Msanii Wao :-Amber Lulu - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Najipendekeza Wasafi ili Niwe Msanii Wao :-Amber Lulu

Mwanadada Amber Lulu  amefunguka na kusema kuwa kwa siku nyingi amekuwa akitamani sana kufanya kazi na  wasanii wa kundi la WCB  kutokana na kujituma kwao kufanya kazi lakini pia kwa kazi zao nzuri ambazo kila mtu amekuwa akiziona .


amber lulu anasema kuwa na ndio maana amekuwa akikaa karib na WCB ili kujipendekeza ili siku moja wamuone ka kumchukua kama msanii wao.


wasafi wanajituma sana na wanajua sana muziki,  na ndio maana najipendekeza ili niwe msanii wao, magari yale yananitia sana uchizi.


The post Najipendekeza Wasafi ili Niwe Msanii Wao :-Amber Lulu appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More