“Namheshimu Okwi, Eto’o kanisumbua kimataifa”-Cannavaro - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Namheshimu Okwi, Eto’o kanisumbua kimataifa”-Cannavaro

August 12, 2018 nahodha wa Yanga SC Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ataagwa rasmi baada ya kutangaza kustaafu soka la ushindani na kutangazwa meneja mpya wa klabu hiyo.


Dauda TV imepiga Exclusive interview na Cannavaro ambaye alijiunga na Yanga mwaka 2006 na kudumu katika klabu hiyo kwa miaka 12 akiwa mchezaji.


Kuna mambo mengi ambayo huyajui kuhusu beki huyu aliyeweka historia ya kushinda mataji mengi zaidi (15) tangu alivyojiunga na Yanga mwaka 2006 hadi 2018.


Dauda TV on YouTube ina full interview, click PLAY hapo chini kuiangalia.

#KwaheriMfalmeWaMatajiYangaSource: Shaffih DaudaRead More