Namna ya kutengeneza mkaa wa takataka unaotunza mazingira - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Namna ya kutengeneza mkaa wa takataka unaotunza mazingira

Mkaa huo ni rafiki wa mazingira kutokana na kutumia taka, lakini pia teknolojia hiyo ikiendelezwa zaidi itakuwa mbadala wa mkaa wa kawaida ambao hutokana na kukatwa kwa miti hali inayotishia ustawi wa misitu na mazingira kwa ujumla.


Source: BBC SwahiliRead More