Nandy Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Kenya. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nandy Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Kenya.

Mwanadada kutoka Tanzania Nandy ameshida tuzo nchini kenya kutoka Maranatha Awards nchini humo.Tuzo hizo ni tuzo maalum zinazotolewa nchini humo kwa ajili ya wasanii wa injili.katika tuzo hizo, Nandy ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha Best  Worship Song Cover kupitia wimbo wa Angel benard wa nikumbushe.


Kupitia wimbo huohuo , Angel Benard nae ameshinda tuzo nchini marekani , hivyo hii inaonyesha ni jinsi gani wimbo huo umekuwa na nguvu kubwa.


The post Nandy Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Kenya. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More