NAONA MBOWE NAYE AMEAMUA KUWAFUATA WAITARA, MTATIRO ! - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAONA MBOWE NAYE AMEAMUA KUWAFUATA WAITARA, MTATIRO !

Na Said Mwishehe

SITAKI kuamini hiki...yaani hata Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe naye ameamua kuhamia CCM.

Ni nini kimetokea kwa Mbowe?Hivi kweli ameamua kwa ridhaa yake kujiunga CCM? Amenunuliwa?Ujue unaposikia Mbowe naye ameamua kujiunga CCM lazima kuna maswali ya msingi ambayo utajiuliza tu.

Au Mbowe ameamua kuondoka Chadema kutokana na kulalamikiwa na baadhi ya wabunge wa chama hicho kuwa anaendesha chama kwa maamuzi yake.Hili sidhani.Haiwezi kuwasababu ya kumfanya Mbowe kujiunga na CCM.

Au ameamua kuondoka Chadema na kuachana na nafasi zake zote alizonazo kwasababu tu ya kuchoshwa na tuhuma ambazo zinaelekezwa kwake kila kukicha na wale wanaohama kuwa hataki kuachia Uenyekiti kwa wengine.Hata hivyo kwa kuwa Mbowe yupo nitaelewa tu sababu zilizomfanya naye aondoke Chadema na kwenda kujiunga na CCM.

Hata hivyo wakati hayo yakiendelea nikawa natafakari hivi ni kweli Mbowe hizi habari za kwamba ameondoka Chadema na kujiunga na CCM.Binafsi sawa nilishangaa kusikia Mbowe ka... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More