Nape Nnauye apata ajali leo asubuhi Liwale - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nape Nnauye apata ajali leo asubuhi Liwale

NAPE Nnauye, Mbunge wa jimbo la Mtama,  amepata ajali asubuhi ya  leo tarehe 24 Septemba 2018  akiwa safarini kuelekea wilaya ya Liwale mkoani Lindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za awali zinaeleza kuwa, Nape pamoja na wengine waliokuwemo ndani ya gari hawajapata madhara makubwa ya kiafya. Nape alikuwa njiani akielekea Liwale kwa ajili ya ...


Source: MwanahalisiRead More