Nape Nnauye atoa neno kuhama kwa Mtatiro - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nape Nnauye atoa neno kuhama kwa Mtatiro

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama hicho, akisema kuwa hamahama hiyo itumike kama fursa ya kujenga upya demokrasia. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Nape ametoa maneno hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo amesema hamahama hiyo pia itumike ...


Source: MwanahalisiRead More