Nasa yasitisha shughuli ya kutuma chombo kwenda kwa Jua - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nasa yasitisha shughuli ya kutuma chombo kwenda kwa Jua

Chombo hicho kinachojulikana kama Parker Solar Probe kilitarajiwa kuzinduliwa eneo la Cape Canaveral, Florida leo Jumamosi lakini uchunguzi wa dakika za mwishoi umesababisha safari hiyo kuhairishwa


Source: BBC SwahiliRead More