Nay Akanusha Kumuimba Mh Rais Kweye Wimbo Wake Mpya. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nay Akanusha Kumuimba Mh Rais Kweye Wimbo Wake Mpya.

Msanii Nay wa mitego amekanusha taarifa zinazoenea katika mitandao ya kijamii kuwa wimbo wake mpya wa alisema umekuwa ukimsifia na kumponda mh rais hasa pale aliposema zote kwa John.Nay wa mitego anasema kuwa kile alichokimba kinalenga jamii yote kwa ujumla bila kusema kuwa unakwenda moja kwa moja kwa mtu fulani.


Nay anasema kuwa John ni mtu yoyote ambae ni kiongozi anaeweza kulaumiwa na watu kwa kufanya mabaya lakini pia kwa kusifiwa na baadhi kutokana pia  na mazuri yake anayofanya katika jamii.


Kwa sasa hivi john ndio amekuwa akilaumiwa sana na nilitaka kuwakumbusha kuwa ukizungumzia mabaya yake unatakiwa kuzungumzia mazuri yake pia, kwa sababu kila binadamu anakuwa anatenda mazuri na mabaya.Sitaki kusema kuwa ni johngani kwa sababu mimi ni msanii kwaio nimekuwa nikitumia sanaa yangu kuweka mafumbo ili kufikisha ujumbe kwa jamii yangu na ukweli ninaujua mimi ambae nimeongelea swala hilo.


Huo ni wimbo wenye tasfiri nyingi sana, na kila ukiusikiliza unaweza kukaa na kujiuliza kuwa ni... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More