Nay wa Mitego aachia bomu lingine ‘Alisema’, amtaja Akwelina, Rais Magufuli na hali ya uchumi nchini (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nay wa Mitego aachia bomu lingine ‘Alisema’, amtaja Akwelina, Rais Magufuli na hali ya uchumi nchini (+video)

Rapa Nay wa Mitego ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ALISEMA, kwenye mashairi hayo kazungumzia viongozi wa kisiasa akiwemo Rais Magufuli, hali ya uchumi na mwanafunzi Akwelina aliyeuawa kwa kupigwa risasi mapema mwaka huu. Enjoy!The post Nay wa Mitego aachia bomu lingine ‘Alisema’, amtaja Akwelina, Rais Magufuli na hali ya uchumi nchini (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More