NBS: Utafiti wa Huduma za Uzazi wa Mpango na Huduma za Uzazi Kufanyika hivi Karibuni - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NBS: Utafiti wa Huduma za Uzazi wa Mpango na Huduma za Uzazi Kufanyika hivi Karibuni

UTAFITI wa kutathmini upatikanaji wa Huduma za Uzazi wa Mpango pamoja na dawa zinazohusiana na huduma za uzazi nchini utanarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba waka huu.
Akifungua mafunzo ya siku kumi na moja kwa wadadisi wa utafiti huo, Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa amesema taarifa zitakazokusanywa kwenye utafiti huo ni pamoja na upatikanaji wa njia za uzazi wa mpango katika ngazi mbalimbali za vituo vya kutolea huduma za afya.
Aidha, kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu huyo, utafiti huo utakusanya taarifa zinazohusu mfumo wa ugavi wa dawa au vifaa vinavyohusiana na njia za uzazi wa mpango pamoja na huduma za uzazi na uwepo wa watumishi waliosomea utoaji wa huduma hizo.
Utafiti huo ambao ni mara ya tatu kufanyika nchini kuanzia mwaka 2015 utaangalia pia uwepo wa miongozo mbalimbali kutoka wizara za afya inayoongoza huduma hizo na pia utakusanya maoni ya wateja waliofika kwenye kituo husika kwa ajili ya huduma za uzazi wa mpango.Mkurugenzi wa Shughu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More