Nchinzima ya Venezuela yakumbwa na giza - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nchinzima ya Venezuela yakumbwa na gizaShughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii nchini Venezuela, zimesimama kwa muda kuanzia jana, hii ni kutokana na kukosekana kwa umeme nchi nzima tangu alhamisi mchana Machi 7, 2019.

Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro ameituhumu Marekani kuwa ndio walioshambulia miundombinu ya umeme.

Hadi sasa imeripotiwa takribani watu 17 wamepoteza maisha kwa kushindwa kufanyiwa upasuaji kwenye Hospitali mbali mbali katika nchini hiyo ambayo imekuwa na maandamano ya kupinga utawala wa Rais Maduro.


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More