Ndanda hii sio ile mjue - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ndanda hii sio ile mjue

LICHA ya Kocha Patrick Ausems jana Jumamosi kuamua kuwachezesha kwa pamoja mastraika wake watatu wakali, Emmanuel Okwi, John Bocco na Meddie Kagere, aliishuhudia timu yake ya Simba ikibanwa na Ndanda mjini Mtwara.


Source: MwanaspotiRead More