Ndege ya Air India yagonga ukuta katika uwanja wa ndege wa Trichy - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ndege ya Air India yagonga ukuta katika uwanja wa ndege wa Trichy

Ndege ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka mji wa Trichy kusini mwa India kuelekea Dubai ilivunjika sehemu ya bawa lake baada ya kugonga ukuta katika uwanja wa ndege kabla ya kupaa.


Source: BBC SwahiliRead More