Ndesamburo mwingine aondoka Moshi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ndesamburo mwingine aondoka Moshi

HAWA Mushi, diwani wa Chadema katika kata ya Mawenzi, katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi, hatimaye amezikwa mchana huu, nyumbani kwake Mawenzi. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Moshi … (endelea). Hawa alifariki dunia juzi Alhamisi, katika hospitali ya Rufaa inayomilikiwa na Kanisa la Kilutheli Tanzania (KCMC), mkoani Kilimanjaro. Alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo na uvimbe ...


Source: MwanahalisiRead More