Ndugai acharuka Bunge kuitwa dhaifu, ataka pingu zitumike - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ndugai acharuka Bunge kuitwa dhaifu, ataka pingu zitumike

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ameagiza kufika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad. Anaripoti Danson Kaijage, kutoka Dodoma … (endelea). Aidha, Ndugai amemtaka mbunge wa Kawe, Halima James Mdee, kufika mbele ya kamati hiyo, ...


Source: MwanahalisiRead More