NEC watangaza Uchaguzi mdogo mwingine - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEC watangaza Uchaguzi mdogo mwingine

UCHAGUZI mdogo katika kata 37 za Tanzania Bara unatarajiwa kufanyika tarehe 13 Oktoba 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Tarehe hiyo imetangazwa leo tarehe 14 Septemba, 2018 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage. Amesema fomu za uteuzi wa wagombea katika uchaguzi wa kata hizo zilizoko ...


Source: MwanahalisiRead More