NEC watoa neno kwa wagombea, wapiga kura - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEC watoa neno kwa wagombea, wapiga kura

IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36), Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa neno kwa wapiga kura. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage amewataka wagombea katika uchaguzi huo pale panapokuwa na malalamiko yoyote ya ...


Source: MwanahalisiRead More