NEC yawaita wapiga kura uchaguzi Liwale - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEC yawaita wapiga kura uchaguzi Liwale

WAPIGA kura katika jimbo la Liwale mkoani Lindi pamoja na kata nne za Tanzania Bara wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi tarehe 13 Oktoba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wito huo umetolewa leo tarehe 12 Oktoba 2018 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji ...


Source: MwanahalisiRead More