NEC, yawapa somo viongozi wa vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mdogo - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEC, yawapa somo viongozi wa vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mdogo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), imewataka viongozi wa sasa kusimamia maadili ya uchaguzi kama ilivyoainishwa kwenye Katiba Mama ya nchi ili kuufanya uchaguzi kuwa wenye amani na wa haki. Kauli hiyo imetolewa hii leo na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Semistocles Kaijage, wakati alipokutana na viongozi wa siasa kutoka vyama mbalimbali hapa nchini, ambao wamekutana


Source: Kwanza TVRead More