NECTA watangaza matokeo ya kitado cha sita - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NECTA watangaza matokeo ya kitado cha sita

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).  Shule nyingine zilizoshika mkia ni Forest ya (Morogoro), Jang’ombe, St James, Kilolo,(Iringa),  White Lake,(Dar es Salaam) Aggrey,(Mbeya), ...


Source: MwanahalisiRead More