NEEC, UNDP na wadau wengine kufanya tafiti zitakazochochea maendeleo kwenye halmashauri - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEEC, UNDP na wadau wengine kufanya tafiti zitakazochochea maendeleo kwenye halmashauri Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananachi Kiuchumi (NEEC),Beng'i  Issa,akibadilishana nyaraka na Mkuu wa Idara ya maarifa na Ubunifu Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Margareth Nzuki (kushoto) baada ya kusaini mkataba wa kufanya kazi kati ya baraza hilo pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).Katibu mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC),Beng'i  Issa,akibadilishana nyaraka  na Mwakilishi wa Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dkt. Kenneth Mdadila, (kulia) baada ya kusain Mkataba wa kufanya kazi za tafiti kati ya baraza hilo pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na chuo hicho.Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananachi Kiuchumi (NEEC),Bi. Beng'i  Issa katikati akisaini nyaraka ya makubaliano ya mkataba wa kufanya kazi na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UN... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More