Netflix waja na huduma ya ‘Subtitles za kiswahili’, Wakenya wakosoa wadai ni udhalilishaji wa lugha - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Netflix waja na huduma ya ‘Subtitles za kiswahili’, Wakenya wakosoa wadai ni udhalilishaji wa lugha@iKeynan – These Netflix Swahili subtitles are just fine. At the end of the day, Netflix is an entertainment content provider. And those subtitles are hella entertaining.

Kama wewe ni mtu wa kuangalia filamu mtandaoni basi mtandao pendwa wa Netflix umeanza kuweka ‘Subtitles’ za kiswahili kwenye movies zote zilizopo kwenye mtandao huo.Hata hivyo, hatua hiyo haijapokelewa vizuri na baadhi ya Wakenya kwenye mitandao ya kijamii  kwani kiswahili kilichowekwa kwenye filamu hizo kimejaa makosa.@Lizesjay – My goodness! Swahili subtitles on Netflix are hilarious! Your highness-urefu wako. Did Uganda do this?@PhannieAK – @netflix who told you that we need Swahilisubtitles? We understand English. We hear it and comprehend it well. Stop this nonsense!!!! Also, you’ve been getting the translations wrong!@Wairimu_WaGitau   – These swahili Netflix subtitles are cool and shit but how many times do I have to put that shit off before they get the fucking memo?@RealestNana ... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More