Netflix ya Magemu? Microsoft waja na huduma ya malipo ya mwezi, magemu 100+ - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Netflix ya Magemu? Microsoft waja na huduma ya malipo ya mwezi, magemu 100+

Netflix ya magemu? Microsoft watambulisha huduma ya magemu kwa malipo ya mwezi inayoonekana kwenye njia ya kupata mafanikio. Hii unaweza kusema ni Netflix ya magemu, kwa kuingalisha na huduma ya malipo kwa mwezi kwa ajili ya muvi/filamu ya Netflix. Huduma ya Netflix ni nini? Fahamu huduma hii ya kuangalia muvi mtandaoni Huduma ya Microsoft kwa [...]


The post Netflix ya Magemu? Microsoft waja na huduma ya malipo ya mwezi, magemu 100+ appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More