Neville amshauri kocha wa Arsenal Emery kutumia mfumo huu kama anataka matokeo mazuri - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Neville amshauri kocha wa Arsenal Emery kutumia mfumo huu kama anataka matokeo mazuri

Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Manchester United na Everton Phil Neville amemshauri Kocha wa Arsenal Unai Emery kuwa anapaswa kushikilia mfumo mzuri utakaompa matokeo mazuri katika kila mchezo.Neville ameongea hayo na kusema ” Ukiangalia ushindi wa Arsenal chini ya Unai katika mechi yake ya mwisho ambapo aliwatumia Alexandre Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang tangu mwanzo, waliweza kupata ushindi”Baada ya kuwa mbadala (sub) katika michezo mitatu ya kwanza ya Arsenal matokeo hayakuwa mazuri sana, Lacazette alipoanza katika mchezo wa mwisho Arsenal ilipata ushindi wa goli 3-2 huko Cardiff City, huku Aubameyang akienda kushoto. Lacazette akifunga goli moja na kufanikiwa kutengeneza nafasi ya goli.Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United na Everton, anaamini kuwa Unai akiwa na Lacazette na Aubameyang kutokana na kwamba wachezaji hao wanakimbia uwanjani,hasa katika mchezo wa Jumamosi watakapo kwenda Newcastle United itasaidia na kuleta matumaini kwa Emery kupata  ushindi... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More