New Music Video: Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

New Music Video: Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila

Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake wa Baila aliomshirikisha nguli wa piano duniani, Miri Ben-Ari kutoka Marekani.Wimbo wa Baila unapatikana kwenye album yake ya A Boy From Tandale na ni moja ya nyimbo ambazo zilikuwa video yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu.


The post New Music Video: Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More