New Video: Fred Wayne (New Boy) – Gimme Dat - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

New Video: Fred Wayne (New Boy) – Gimme Dat

Msanii wa muziki, Fred Wayne ambaye alikuwa member wa kundi la Makomando, ameachana na kundi hilo na kuja kivyake chini ya usimamizi wa Spice Music ambapo wiki hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao, Gimme Dat.The post New Video: Fred Wayne (New Boy) – Gimme Dat appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More