New Video: Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

New Video: Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru

Kutoka WCB, Harmonize ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘ Kwa Ngwaru’ ambayo ameshirikisha Diamond Platnumz, ngoma imefanyika Wasafi Records na producer Laizer wakati video imeongozwa na Kenny kutoka Zoom Production.Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share


Source: Bongo5Read More