NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEWZ ALERT: FUNDI MKUU WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI


Fundi Mkuu wa Mv. Nyerere Alphonse Augustino Cherehani ameokolewa akiwa hai baada ya kukwama ndani ya meli kwa saa zaidi ya 30.
Anaendelea kupata matibabu katika kituo cha afya Bwisya Ukara.
''Mpaka sasa miili ya waliopolewa wakiwa wamekufa ni 163,na kati yao miili 116 imetambuliwa na ndugu zao'' amesema Waziri wa Uchukuzi na mawasiliano Mhandisi  Isack Kamwelwe.


Source: Issa MichuziRead More