NEWZ ALERT: MTATIRO ABADILI GIA ARIDHINI,AONDOKA CUF,ATANGAZA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEWZ ALERT: MTATIRO ABADILI GIA ARIDHINI,AONDOKA CUF,ATANGAZA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii

JUHUDI za Rais Dk.John Magufuli za kuleta maendeleo zimesababisha Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi(CUF), Julius Mtatiro kuamua kubadili gia aridhini kwa kujivua uanachama wa chama hicho.

Na kwamba amesema kuanzia leo atajikita katika kushiriki katika kufanya siasa za maendeleo na hasa kuunga mkono jitihada za Rais.Wakati anatangaza uamuzi huo ametaja sababu tano zilizomsukuma kufanya uamuzi huo.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Mtatiro ametaja sababu hizo ambapo ya kwanza ni kutoridhishwa na hali ya ushiriki na mchango wake kwenye siasa za CUF.Amesema sababu ya pili ni mgogoro wa kiuongozi unaoendelea kukikumba chama hicho na sababu ya tatu ni kutoridhidhwa na ushiriki wake kama kijana na kiongozi katika kuchochea maendeleo ya nchi.

Wakati jambo la nne likiwa ni ajenda ya maendeleo ya nchi, huku jambo la mwisho likiwa ni mustakabali wake kuhusu masuala ya siasa.

“Katika tafakari yangu ya kuhama, nilipitia maeneo kama matano a... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More