NEWZ ALERT:RAIS DKT. MAGUFULI ATANGAZA SIKU NNE ZA MAOMBOLEZO, AWAOMBA WANASIASA WASITAFUTE KIKI KUPITIA MSIBA HUO WA TAIFA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEWZ ALERT:RAIS DKT. MAGUFULI ATANGAZA SIKU NNE ZA MAOMBOLEZO, AWAOMBA WANASIASA WASITAFUTE KIKI KUPITIA MSIBA HUO WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusiana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake  kati ya kisiwa cha  Bugolora na Ukara katika ziwa Victoria  Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo  watu 131 wanahofiwa kupoteza maisha. Pia Rais Dkt. Magufuli ametangaza siku nne za Maombolezo kuanzia leo tarehe 21 Septemba 2018. PICHA NA IKULU... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More