NEYMAR AFUNGA BAO PEKEE BRAZIL YAILAZA 1-0 URUGUAY LONDON - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEYMAR AFUNGA BAO PEKEE BRAZIL YAILAZA 1-0 URUGUAY LONDON

Nahodha wa Brazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 76 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Emirates mjini London ulioshuhudiwa kadi nane za njano zikitolewa kwa wapinzani hao wa Amerika Kusini Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More