NEYMAR, DI MARIA WAFUNGA PSG YASHINDA 2-1 LIGI YA UFARANSA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NEYMAR, DI MARIA WAFUNGA PSG YASHINDA 2-1 LIGI YA UFARANSA

Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la kwanza dakika ya 20 ikiilaza Angers 2-1 katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Raymond-Kopa mjini Angers. Bao la pili la PSG lilifungwa na Angel Di Maria dakika ya 58 wakati la Angers lilifungwa na Flavien Tait dakika ya 88 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More