Neymar, Mbappe kuonekana king’amuzi cha StarTimes - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Neymar, Mbappe kuonekana king’amuzi cha StarTimes

Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia king’amuzi chake cha StarTimes imetangaza kurejea kwa ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 kwa msimu wa 2018/19. Taarifa hiyo ilitolewa na Meneja Mahusiano wa Kampuni hiyo, Juma Suluhu katika mkutano na waandishi wa habari.


Source: MwanaspotiRead More