Ngasa apagawa na Ndondo Cup - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ngasa apagawa na Ndondo Cup

Kwenye uzinduzi wa Ndondo Cup 2018 Dauda TV imekutana na mtanzania ambaye amewahi kucheza mechi ya ushindani dhidiya kikosi cha Manchester United.


Anko alicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Manchester United iliyofanyikia Marekani ambako Man United ilikuwa tour wakati huo Ngasa alikuwa anafanya majaribio kwenye klabu ya Seattle Sounders ya Marekani.


Ametoa mtazamo wake kuhusu mashindano ya Sports Xtra Ndondo Cup ambapo amesema mashindano yatakuwa makubwa zaidi.Source: Shaffih DaudaRead More