Ngassa, Makambo eti wana vitu adimu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ngassa, Makambo eti wana vitu adimu

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kambini mjini Morogoro, lakini vitu ambavyo Mrisho Ngassa na Heritier Makambo wamevionyesha vimemfanya Winga Emmnauel Martin kushindwa kujizuia na kusema nyota hao wapya wana vitu adimu vinavyoweza kuleta mabadiliko makubwa Jangwani msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.


Source: MwanaspotiRead More