Ngassa, Makambo wapagawisha kinoma Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ngassa, Makambo wapagawisha kinoma Yanga

Winga wa Yanga, Emmanuel Martin amesema  Mrisho Ngassa na Heritier Makambo wameongeza nguvu kwenye kikosi hicho kutokana na ufundi wao mazoezi huko mkoani Morogoro ambako wameweka kambi kujiandaa na mechi dhidi ya MC Alger, michuano ya Shirikisho pamoja na ligi kuu.


Source: MwanaspotiRead More