Ngoma aongezewa makali huko Uganda - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ngoma aongezewa makali huko Uganda

STRAIKA mpya wa Azam FC, Donald Ngoma, amepewa programu maalumu huko kambini Uganda ili aweze kuwa fiti kiasi cha kurejea katika makali yake aweze kuzipenya ngome za wapinzani wao wa Ligi Kuu Bara wakiwamo Simba na Yanga.


Source: MwanaspotiRead More