NGOs 158 ZAONDOLEWA KWENYE REJISTA YA MSAJILI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NGOs 158 ZAONDOLEWA KWENYE REJISTA YA MSAJILI


Mkurugenzi Msaidizi Usajili Bw. Baraka Leonard (kulia) akikabidhi cheti cha usajili kwa mmoja wa wadau waliofika kukamilisha usajili wakati wa zoezi la usajili wa mashirika hayo lilohitimishwa mwishoni mwa wiki kwa Mikoa ya Nyanda za juu Kusini katika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya. Mdau wa NGO Bi. Joanitha Mtayobya mkazi wa jijini Mbeya akipokea cheti cha usajili wa Shirika lake kutoka kwa Maafisa Wasajili wa Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii wakati zoezi usajili wa mashirika hayo lilohitimishwa mwishoni mwa wiki kwa Mikoa ya Nyanda za juu Kusini katika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya. Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi Vickness Mayao (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Msaidizi Uratibu na Ufuatiliaji Bi. Grace Mbwilo (katikati) na Bw. Baraka Leornard Mkurugenzi Msaidizi Usajili wakimsikiliza mdau wa NGO aliyefika kupata maelekezo kuhusu uhuishaji wa usajili wa Shirika lake wakati wa zoezi la kusajili NGOs lililohitimishwa mwish... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More