NGUZA VIKING AFUNGA NDOA LEO JIJINI DAR NA KATIBU TAWALA WILAYA YA MUHEZA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NGUZA VIKING AFUNGA NDOA LEO JIJINI DAR NA KATIBU TAWALA WILAYA YA MUHEZA

Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya  amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. #harusi #ndoa #furahayapamoja Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya  akiwasili kanisani kufunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa.  Bi Harusi, Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule akiwa katika furaha... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More