NHC YAKABIDHI KITUO CHA POLISI KWA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NHC YAKABIDHI KITUO CHA POLISI KWA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limekabidhi Kituo chá Polisi kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kilichojengwa kwa thamani ya zaidi ya sh.milioni 75  ili kiweze kutoa huduma kwa jamii  inayozunguka eneo la Changanyikeni Kibada jijini Dar es Salaam.
Ujenzi wa kituo hicho kwa NHC sera ya utekelezaji wa huduma kwa jamii  katika sehemu mbalimbali zilizokuwa  na miradi  na hata sehemu zingine ambapo miradi haifayiki.. 
Akizungumza kabla ya ufunguzi na makabidhiano, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Félix Maagi amesema kuwa  kabla ya ujenzi wa nyumba 248  za shirika hilo katika eneo la Kibada, walipanga kujenga kituo hicho ambacho sasa  kimesha kamilika ikiwa kuhakikisha wakazi wanaoishi katika nyumba hizo wanakuwa na ulinzi wao na mali zao.
Amesema kituo hicho chenye vyumba viwili vya mahabusu (wakiume na wakike), ofisi ya mkuu wa kituo, vyoo viwili vya maofisa na vya mahabusu.
"Kumekuwa na mawasiliano na  Jeshi la Polisi kukifanyika kwa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More