NHC YAKABIDHI KITUO CHA POLISI KWA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NHC YAKABIDHI KITUO CHA POLISI KWA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limekabidhi Kituo chá Polisi kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam klichojengwa kwa thamani ya zaidi ya sh.milioni 75 ili kiweze kutoa huduma kwa jamii inayozunguka eneo la Changanyikeni Kibada jijini Dar es Salaam.Ujenzi wa kituo hicho kwa NHC sera ya utekelezaji wa huduma kwa jamii katika sehemu mbalimbali zilizokuwa na miradi na hata sehemu zingine ambapo miradi haifayiki.. 
Akizungumza kabla ya ufunguzi na makabidhiano, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Félix Maagi, amesema kuwa kabla ya ujenzi wa nyumba 248 za shirika hilo katika eneo la Kibada, walipanga kujenga kituo hicho ambacho sasa kimesha kamilika ikiwa kuhakikisha wakazi wanaoishi katika nyumba hizo wanakuwa na ulinzi wao na mali zao.
Amesema kituo hicho chenye vyumba viwili vya mahabusu (wakiume na wakike), ofisi ya mkuu wa kituo, vyoo viwili vya maofisa na vya mahabusu."Kumekuwa na mawasiliano na Jeshi la Polisi kukifanyika kwa maboresh... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More